Unakuta umeseviwa hivi kwenye simu lakini kiukweli si kazi yako
Tweet
-Read more
Tweet
-Read moreMtu mmoja aliyekua akiumwa sana na kulazwa hospitalini huku akitumia mirija maalumu kupata hewa, alitembelewa na pastor kwa ajili ya maombi. Katikati ya maombi kwakuwa mgonjwa alikuwa hawezi kuongea akachukua kikaratasi na peni akaandika kitu na kumpa Pastor,sababu pastor alijifanya busy na maombi akakiweka mfukoni bila kukisoma, mara mgonjwa akafa. Kwenye mazishi pastor akakitoa kile [...]
-Read moreBonyeza hapa kutazama video Tweet
-Read moreWakati wa ujana wake, mke wa sasa wa Rais wa Marekani ambaye ndiye 1st Lady Michele Obama aliwahi kupangiwa chumba kimoja chuoni na binti wa kizungu. Mama yake binti wa kizungu akakasirika sana binti yake kupangiwa chumba kimoja na msichana mweusi na akaomba uongozi wa chuo umuondoe Michele katika chumba kile. Kweli Michele akaondolewa lakini [...]
-Read moreBonyeza hapa kusikiliza Tweet
-Read more